Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali
Jul 17, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33648" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33649" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kati Dodoma, Mussa Kuzumila akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES –UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33650" align="aligncenter" width="750"] Mkemia toka Ofisi za Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma, Bi. Tupeligwe Mwaisaka akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33651" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa washiriki wa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (Bsc. MMPE) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) akichangia mada wakati wa mafunzo hayo jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33652" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa washiriki wa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (Bsc. MMPE) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) ambaye pia ni Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Utafutaji Madini Msc. ME, Bi. Dafroza Lyimo akichangia mada wakati wa mafunzo hayo jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33653" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kati Dodoma, Mussa Kuzumila akiagana na Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES –UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33654" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha (wa sita toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) ) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi