Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waganga Wakuu wa Mikoa/Halmashauri Wapigwa Msasa Sheria ya Takwimu
Aug 17, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34280" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akizungumza alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu takwimu za afya katika Mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Sekta ya Afya, Dkt. Zainabu Chaula, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ambaye ndiye mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mkutano huo, Anthony Mtaka na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya. Kauli mbiu ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni Msingi wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.[/caption] [caption id="attachment_34281" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini leo Jijini Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni Msingi wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.[/caption] [caption id="attachment_34282" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akizungumza alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu takwimu za afya katika Mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini leo Jijini Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni Msingi wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.[/caption] [caption id="attachment_34283" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini wakifuatilia mada kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) leo Jijini Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni Msingi wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.
(Pcha na: Idara ya Habari –MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi