[caption id="attachment_29528" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari wakati wa mkutano wake na ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka China leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Rais wa Chama cha Maendeleo ya Uchumi China – Asia (CAEDA), Huang Zhaojin na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji (EPZA), Kanali Mstaafu Joseph Simbakali.[/caption] [caption id="attachment_29530" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo mbele ya waandishi wa Habari wakati wa mkutano wake na ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka China leo Jijini Dar es Salaam. Ujumbe huo umekuja nchini kwa lengo la kuangalia fursa za uwekezaji nchini.[/caption] [caption id="attachment_29531" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Chama cha Maendeleo ya Uchumi China – Asia (CAEDA), Huang Zhaojin (kulia) akielezea jambo mbele ya waandishi wa Habari wakati wa mkutano wake na ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka China leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji (EPZA), Kanali Mstaafu Joseph Simbakali (kushoto).[/caption] [caption id="attachment_29532" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akiagana na Rais wa Chama cha Maendeleo ya Uchumi China – Asia (CAEDA), Huang Zhaojin mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka China leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_29533" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Chama cha Maendeleo ya Uchumi China – Asia (CAEDA), Huang Zhaojin mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka China leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji (EPZA), Kanali Mstaafu Joseph Simbakali na Mkurugenzi wa Mmalaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Edwin Rutegaruka. (Picha na: MAELEZO)[/caption]