[caption id="attachment_21913" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira akizungumza katika warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) Bibi. Bella Bird, Mratibu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bw. Simon Hess na Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).[/caption] [caption id="attachment_21916" align="aligncenter" width="750"] Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska akichangia akiwasilisha mada katika warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji(Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira na Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).[/caption] [caption id="attachment_21915" align="aligncenter" width="750"] Mratibu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bw. Simon Hess akielezea jambo wakati wa warsha ya siku moja kupitia ripoti ya kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji(Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira na Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).[/caption] [caption id="attachment_21914" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) Bibi. Bella Bird akielezea jambo wakati wa warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska, Mratibu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bw. Simon Hess na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji(Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).[/caption]