Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wadau Wahamasishwa Kusaidia Wasanii Kushiriki Tamasha la Jamafest
Aug 18, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9388" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe katika mkutano wa wadau katika kuchangia ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki (Jamafest) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.[/caption] [caption id="attachment_9391" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akifafanua jambo wakati katika mkutano wa wadau katika kuchangia ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki (Jamafest) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.[/caption] [caption id="attachment_9394" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media Group (CMG), Bw. Ruge Mutahaba akichangia mada wakati wa kikao cha wanakamati ya maandalizi ya kufanikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.[/caption] [caption id="attachment_9397" align="aligncenter" width="750"] Picha ikionyesha namba zinazotumika kupokea michango kutoka kwa wadau kwa ajili ya kusaidia ushiriki wa wasanii kutoka Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) itakayofanyika Jijini Kampala Uganda mapema mwezi Septemba.[/caption] [caption id="attachment_9398" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Bw. Nelson Madirisha akisisitiza jambo wakati wa kikao cha wadau kufanyikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.[/caption] [caption id="attachment_9400" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wadau wa Sanaa na Utamaduni Bi. Esther Baruti akielezea jambo wakati wa kikao cha wadau kufanyikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.[/caption] [caption id="attachment_9401" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wadau wa Sanaa na Utamaduni akijaza fomu baada ya kutoa ahadi ya kuchangia fedha kwa ajili ya kufanikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, katika mkutano uliowakutanisha wanakamati walioteuliwa na Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi