Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wananchi Waendelea Kumiminika Sabasaba
Jun 29, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_4751" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wananchi wakiingia katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ni 41 yameanza jana tarehe 28 Juni na yanatarajia kufikia kilele tarehe 8 Julai 2017ni ya 41 ambapo yanahusisha wafanyabiashara kutoka nchi mbalimbali duniani.[/caption] [caption id="attachment_4753" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya samani zinazotengenezwa ndani ya nchi. (Picha na: Frank Mvungi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi