Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Wambura Afunga Mkutano wa Wadau wa Habari na Mitandao
Jul 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7401" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akipokelewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari na Mawasiliano, Utawala wa Mitandao kutoka Jamhuri ya watu wa China, Bibi.Tang Song alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Tanzania na Wizara ya Habari, na masuala ya Mitandao ya Jamhuri ya Watu wa China.[/caption] [caption id="attachment_7402" align="aligncenter" width="750"] Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz akielezea jambo wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Tanzania na Wizara ya Habari, na masuala ya Mitandao China. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bw. Rodney Thadeus[/caption] [caption id="attachment_7405" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na masuala ya Mitandao China. Kutoka kulia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bw. Rodney Thadeus (katikati).[/caption] [caption id="attachment_7408" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza mbele ya wadau wa habari na mawasiliano mtandao kutoka China na Tanzania wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na Mawasiliano ya Mitandao ya China.[/caption] [caption id="attachment_7411" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifurahia jambo akiwa pamoja na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bw. Rodney Thadeus (kushoto) alipokuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na masuala ya Mitandao China. (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi