Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wadau wa Baraza la Barabara Nchini Wafanya Mkutano Wao wa 17.
Nov 16, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22712" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Baraza la Wadau wa Barabara nchini Mhandisi Abdul Awadh (kushoto) akitoa salamu za Baraza hilo kwa Mgeni Rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (katikati) wakati wa mkutano wa 17 wa Baraza hilo mapema hii leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mshauri wa Baraza hilo Hamza Kassongo.[/caption] [caption id="attachment_22713" align="aligncenter" width="1000"] Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (katikati) akizungumza na wadau wa Baraza la Barabara nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa 17 wa baraza hilo mapema hii leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa baraza hilo Mhandisi Abdul Awadh na kulia ni Mshauri wa baraza hilo Hamza Kassongo.[/caption] [caption id="attachment_22714" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wadau wa Baraza la Barabara nchini wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa 17 wa baraza hilo mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_22715" align="aligncenter" width="750"] Mgeni Rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto) akipata maelekezo toka kwa mdau wa Baraza la Barabara nchini, juu ya huduma wanazozitoa katika sekta ya barabara wakati wa mkutano wa 17 wa baraza hilo mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi