Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wadau Usimamizi Kemikali Sekta ya Mafuta, Gesi Wakutana Dar Es Salaam
Aug 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34260" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Bi. Magdalena Mtenga, akifungua (kwa niaba ya Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira)) warsha ya wadau wa Usimamizi wa Kemikali na Kemikali Taka za Sekta ya Mafuta na Gesi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu, Dar es Salaam .[/caption] [caption id="attachment_34261" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kulia), akiongea na washiriki wa warsha kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwa ufunguzi wa Warsha ya Usimamizi na Usimamizi wa Kemikali taka za sekta ya Mafuta na Gesi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_34264" align="aligncenter" width="750"] Mwanasheria kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Risper Koyi (aliyesimama) akiwasilisha mada kwa wadau kuhusiana na Mikataba ya Kimataifa ya Usimamizi wa Kemikali.[/caption] [caption id="attachment_34265" align="aligncenter" width="750"] Wadau wa warsha ya Usimamizi wa Kemikali na Kemikali taka katika Sekta ya Mafuta na Gesi kutoka Taasisi za Umma na Binafsi wakifuatilia mada katika warsha ya Usimamizi na Usimamizi wa Kemikali taka za sekta ya Mafuta na Gesi inaeyoendelea jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_34262" align="aligncenter" width="750"] Mgeni Rasmi, Bi. Magdalena Mtenga (aliyekaa katikati) na Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (wa pili kushoto, waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa warsha ya Usimamizi wa Kemikali na Kemikali taka iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam .[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi