[caption id="attachment_37123" align="aligncenter" width="750"] 2. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zacharia Mganilwa wakati wa mazungumzo baina yao leo Ijumaa Jijini Dar es Salaam kuhusiana na mikakati mbalimbali ya Chuo hicho kwa ajili ya kuboresha tasnia ya mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania.(PICHA NA MAELEZO)[/caption] [caption id="attachment_37124" align="aligncenter" width="750"] 1. Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo Ijumaa Jijini Dar es Salaam kuhusu mikakati mbalimbali ya Chuo hicho kwa ajili ya kuboresha tasnia ya mashindano yaUrembo ya Miss Tanzania ikiwemo kutoa ufadhili wa masomo ya uhudumu wa ndege kwa washindi wawili wa mashindano hayo.[/caption]