Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Uwekaji Jiwe la Msingi Ujenzi wa Mnara wa Tanki la Maji Kilimani.
Feb 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40387" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mnara wa Tanki la Maji Safi na Salama katika eneo la Kilimani Mnara wa Mbao Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_40388" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Ndg.Mussa Ramadhan Haji, akitowa maelezo ya ujenzi wa Mradi Mnara wa Tanki la Maji katika eneo la Mnara wa Mbao Kilimani akiwa katika ziara yake Wilaya ya Mjini Unguja,kushoto kwa Rais Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kulia Waziri wa Ardhi.Maji Nishati na Makaazi Zanzibar. Mhe. Salama Aboud Talib[/caption] [caption id="attachment_40389" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Mradi ya Ujenzi wa Tanki Jipya la Maji linalojengwa Mnara wa Mbao Kilimani Zanzibar[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi