[caption id="attachment_34171" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 13/08/18. (Picha na Ikulu).[/caption]