Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Utendaji Kazi Bodi ya Filamu Wawakuna Waendesha Biashara za Utalii
Feb 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_28451" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kulia ni Afisa Maendeleo ya Filamu Benson Mkenda.[/caption] [caption id="attachment_28453" align="aligncenter" width="750"] Afisa Maendeleo ya Filamu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Benson Mkenda akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kushoto ni Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.[/caption] [caption id="attachment_28456" align="aligncenter" width="750"] Mhasibu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Adrian Nekemia akitoa ufafanuzi kuhusu namna wanavyoshughulikia malipo ya wadau wanapowasilisha maombi ya vibali vya filamu katika ofisi yao wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi