Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Uongozi wa Timu ya Majimaji Wampa Tuzo Maalum Waziri Makamba
Nov 17, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22812" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalum kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.[/caption] [caption id="attachment_22813" align="aligncenter" width="750"] Viongozi wa timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba mara baada ya kukabidhi tuzo maalum kwa Waziri huyo kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo Bw. Stephen Ngonyani, Mwenyekiti Kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda na shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.[/caption] [caption id="attachment_22814" align="aligncenter" width="750"] Viongozi wa Timu ya Majimaji wakiwa Ofisini kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi