[caption id="attachment_30600" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari(MAELEZO) anayeshughulikia Huduma za Habari na Picha, Rodney Thadeus akielezea jambo walipokuta kwa mazungumzo baina yake na Balozi wa Sweden nchini, Bi. Katarina Ragnitt(katikati) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Masuala ya Demokrasia, Utawala na Haki za Binadamu toka ubalozi huo Bi. Anette Widholm Bolme.[/caption] [caption id="attachment_30601" align="aligncenter" width="1000"] Balozi wa Sweden nchini, Bi. Katarina Ragnitt akifafanua jambo mbele ya Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari(MAELEZO) anayeshughulikia Huduma za Habari na Picha, Rodney Thadeus wakati wa kikao baina yao kilichofanyikia katika ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_30602" align="aligncenter" width="1000"] Mshauri wa Masuala ya Demokrasia, Utawala na Haki za Binadamu toka ubalozi wa Sweden nchini Bi. Anette Widholm Bolme akifafanua jambo wakati wa mazungumzo baina ya Balozi wa Sweden nchini, Bi. Katarina Ragnitt(katikati) na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari(MAELEZO) anayeshughulikia Huduma za Habari na Picha, Rodney Thadeus leo Jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu)[/caption]