Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Walimu wa Kiswahili Kupata Ajira Sudan Kusini
Feb 27, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40902" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Elimu jana kwa ajili ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika Lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kulia) jana jijini Dodoma. Kushoto ni Balozi wa Sudan Kusini nchini Tanzania, Mhe.Mariano Deng Ngor.[/caption] [caption id="attachment_40903" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kushoto) jana jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ave Maria Semakafu.[/caption] [caption id="attachment_40904" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kushoto) jana jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40905" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubalina ya ushirikiano katika sekta ya elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini jana jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako[/caption] [caption id="attachment_40906" align="aligncenter" width="1000"] Balozi wa Sudan Kusini nchini Tanzania, Mhe.Mariano Deng Ngor akitoa neno la shukrani wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubalina ya ushirikiano katika sekta ya elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini jana jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai(katikati).[/caption] [caption id="attachment_40907" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai wakiweka saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili jana jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40908" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako(kulia) akifurahia wakati Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai akionyesha hati ya mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini mara baada ya kuweka saini jana jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi