Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Tanzania katika baadhi ya nchi baada ya kuzungumza nao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 17, 2022. Kutoka kushoto ni Balozi Said Juma Mshana (DRC), Balozi Profesa Adelardus Kilangi (Brazil), Balozi Said Shaib Mussa (Kuwait), Balozi Fredrick Ibrahim Kibuta (Urusi) na Balozi Alex Gabriel Kalua (Israel).
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa