Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akishiriki katika Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde nchini Cameroon.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde nchini Cameroon.