Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Shein Akutana na Ujumbe wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India.
Nov 14, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22518" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[/caption] [caption id="attachment_22520" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[/caption] [caption id="attachment_22521" align="aligncenter" width="680"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ikulu.][/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi