Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali Shinyanga yafunga viwanda vya uchenjuaji dhahabu
Feb 17, 2015
Na Mhariri

[caption id="attachment_114" align="aligncenter" width="640"]Eneo la kuhifadhi maji yenye sumu ya kuchenjulia dhahabu katika mradi mmoja wapo uliopo kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga, ni eneo la makazi ya watu ambalo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally N. Rufunga ameufunga rasmi mradi huo na kuagiza mmiliki wake kufikishwa mahakamani kwa kuvunja taratibu za kisheria. Eneo la kuhifadhi maji yenye sumu ya kuchenjulia dhahabu katika mradi mmoja wapo uliopo kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga, ni eneo la makazi ya watu ambalo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally N. Rufunga ameufunga rasmi mradi huo na kuagiza mmiliki wake kufikishwa mahakamani kwa kuvunja taratibu za kisheria.[/caption] [caption id="attachment_115" align="aligncenter" width="640"]Afisa kutoka ofisi ya madini Mkoa wa Shinyanga akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga juu ya mradi mwingine wa kuchenjua dhahabu eneo la Bushushu katika Manispaa ya Shinyanga Afisa kutoka ofisi ya madini Mkoa wa Shinyanga akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga juu ya mradi mwingine wa kuchenjua dhahabu eneo la Bushushu katika Manispaa ya Shinyanga[/caption] [caption id="attachment_116" align="aligncenter" width="640"]Nyumba hii ndiyo kiwanda chenyewe, awali ilijengwa kwa matumizi ya makazi lakini mmiliki alibadili matumizi na kuamua kuchenjua dhahabu Nyumba hii ndiyo kiwanda chenyewe, awali ilijengwa kwa matumizi ya makazi lakini mmiliki alibadili matumizi na kuamua kuchenjua dhahabu[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi