[caption id="attachment_28767" align="aligncenter" width="853"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yakuahirisha Bunge mapema leo Bungeni Mjini Dodoma hadi Aprili 3, 2018 ambapo amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kutekeleza ahadi zake katika kuwaletea wananchi Maendeleo.