Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali Haitavumili Kuona Taasisi Zinajiendesha kwa Hasara
Jul 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7716" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina Dkt. Oswaid J. Mashindano akifafanua jambo katika kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu mbele ya Wenyeviti wa Bodi, Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Mihale Mwakabinga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Umma wa OMH, Bw. Maftah Bunini.[/caption] [caption id="attachment_7717" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Mihale Mwakabinga akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya Msajili wa Hazina, Bodi na Wizara Mama katika usimamzi wa Mashirika na Taasisi za Umma katika kikao kazi kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu kilichowakutanisha na Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi,Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_7718" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Umma kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina akielezea jambo wakati akiwasilisha mada kuhusu maana ya Mashirika ya Umma katika kikao kazi kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu kilichowakutanisha Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Msajili wa Hazina Dkt. Oswaid J. Mashindano na Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Mihale Mwakabinga.[/caption] [caption id="attachment_7719" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Samwel Mwita Nyantahe akichangia hoja wakati wa kikao kazi baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kuhamasisha sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu yao.[/caption] [caption id="attachment_7720" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) akichangia mada wakati wa kikao kazi baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kuhamasisha sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu yao.[/caption] [caption id="attachment_7722" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu mbele ya Wenyeviti wa Bodi, Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_7723" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina Dkt. Oswald J. Mashindano akifurahia jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Bima ya Maisha na Mafao kutoka Shirika la Taifa la Bima (NIC) Bw. Michael Mowo walipokutana katika kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu kilichowakutanisha Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_7724" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina Dkt. Oswald J. Mashindano akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi wa Taasisi na Mashirika ya Umma mara baada ya kumaliza kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu yao leo Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimewakutanisha Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi