Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Sekretarieti ya Maadili ya Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake
Dec 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25971" align="aligncenter" width="750"] Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni iliyowasilishwa na mmoja wa viongozi wa umma katika ofisi za Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam leo. . Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.[/caption] [caption id="attachment_25972" align="aligncenter" width="750"] Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akimuelekeza jambo mmoja wa viongozi wa umma aliyefika katika ofisi za Sekretarieti hiyo kwa ajili ya kuwasilisha fomu yake ya tamko la rasilimali na madeni leo Jijini Dar es Salaam. . Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.[/caption] [caption id="attachment_25973" align="aligncenter" width="750"] Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni iliyowasilishwa na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Omary Mkumba katika ofisi za Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam leo. . Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.[/caption] [caption id="attachment_25974" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Omary Mkumba akisaini fomu yake ya tamko la rasilimali na madeni mara baada ya kuwasilisha na kukaguliwa na Afisa wa Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake. (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi