[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makala, akihutubia wakati akifungua rasmi mafunzo ya siku tano kwa madaktari wanaofikia 100 kutoka mikoa saba ya kanda ya nyanda za juu Kusini, kwenye ukumbi wa Benjamin Mkapa, jijini humo Desemba 12, 2017. Mafunzo hayo yanayoratibiwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), yanalenga kuwajengea uwezo madaktari na watoa huduma za afya kufanya tahmini ya mfanyakazi aliyepata ulemavu au ugonjwa mahali pa kazi.[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Mkurugenzi Mkuu wa Mfukom wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba, akitoa hotuba ya ukaribisho kweye ufunguzi rasmi wa mafunzo ya siku tano kwa madaktari wanaofikia 100 kutoka mikoa saba ya kanda ya nyanda za juu Kusini, kwenye ukumbi wa Benjamin Mkapa, jijini humo Desemba 12, 2017. Mafunzo hayo yanayoratibiwa na WCF, yanalenga kuwajengea uwezo madaktari na watoa huduma za afya kufanya tahmini ya mfanyakazi aliyepata ulemavu au ugonjwa mahali pa kazi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makala, na Mkurugenzi wa Tiba na Tathmini wa Mfuko huo, Dkt. Abdulsalaam Omar.[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Washiriki wakifuatilia hotuba kwa umakini. [/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Mshiriki akizungumza kwenye mafunzo hayo. [/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Dkt. Ali Mtulia(kushoto) kutoka WCF, na wawezeshaji wakifuatilia hotuba hiyo.[/caption]
Sekretariat ya WCF ikiwa kwenye majadiliano ili kuhakikisha mafunzo yanakwenda kwa ufasaha. Kutoka kushoto ni Dkt. Pascal Magesa, Bw.Vincent Steven, Bi. Laura Kunenge, na Bi.Innocencia William.
[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Afisa Kazi Mkoa wa Mbeya, Bi. Mary Patrick Mwansisya (kulia na maafisa wengine wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa.[/caption]
Mhe. Makala, akionyesha kitu, akiwa Bw. Mshomba
[caption id="" align="aligncenter" width="640"]
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu fidia kwa wafanyakazi yanayoendeshwa kupitia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)[/caption]