Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Kompyuta Muhitimu Omar Saleh Suleiman, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mwanafunzi bora wa Cheti Cha Sayansi na Kompyuta Mhitimu Salma Abdi Naim, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwatunikia wahitimu wanne wa Shahada ya Uzamili ya Sanaa ya Kiswahili yaani “Master of Arts in Kiswahili” katika Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakifutilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Usimamizi wa Maliasili na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yaani”Master of Sciece in Nutural Resources Management and Climate Change” baada ya kutunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwatunukia Wahitimu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Shahada ya Uzamili ya Elimu katika Ufundishaji wa Kiswahili kwa Wazungumzaji wa Lugha Nyingine yaani ” Master of Education in Teaching to Speakers of Other Languages” wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
Wahitimu wa Shahada ya Ukunga na Uunguzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakila kiapo cha Utii na Uadilifu baada ya kutunukia Shahada na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja