Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akabidhi Boti Nane na Mashine za Boti 16 kwa Wavuvi wa Pemba
Apr 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Boti na Mashine na Vifaa vya Uvuvi Kiongozi wa Kikundi cha Uvuvi cha Kengeja, Bw. Ali Baroo, wakati wa kukabidhi boti nne na mashine za boti 16 kwa Vikundi vya Uvuvi Pemba , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Michewene Pemba