[caption id="attachment_39575" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali na Maabara ya Vinasaba vya (DNA), ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_39574" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Waziri wa Afya Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuhutubia hadhara hiyo ya hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mkemia Mkuu wa Serikali Maruhubi Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_39573" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdalla akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Jengo Jipya la Mkemia Mkuu na Maabara ya Vinasaba DNA, katika hafla ya Ufunzuzi huo uliofanyika katika jengo hilo maruhubi Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_39572" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wananchi na Wafanyakazi wakifutalia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Mkemia Mkuu wa Serikali na Maabara ya Vinasaba DNA Maruhubi Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar[/caption]