Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Stanbic Bank Tanzania na Mfuko wa AgaKhan Foundation
Apr 11, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-4-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu cha Historia ya Standard Bank Group ambayo ni kampuni mama ya Stanbic Bank Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-4-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi wa Mfuko wa Aga Khan Foundation, Bi. Zahra Aga Khan alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mfuko wa Aga Khan Foundation ukiongozwa na Mwakilishi wa Mfuko huo, Bi.Zahra Aga Khan (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 11-4-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Mfuko wa Aga Khan Foundation, Bi. Zahra Aga Khan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 11-4-2022