Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Afungua Mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar
Mar 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya Taasisi ya Asasi za Kirais Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja nje kidogo wa Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja nje kidogo ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi, Bw.Mohammed Farid Hussein.