Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar Dk Shein Afungua Kongamano la Kimataifa Zanzibar Leo.
Dec 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25373" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Prof. Alawia Omar Saleh alipowasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kikwajuni kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni.[/caption] [caption id="attachment_25374" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Dk Mohammed Seif Khatib wakielekea katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_25375" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisoma bango la wasifu wa Mtunzi wa Vitabu Muhamed Mtoto wa Said (Bwana MSA) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo la Kiswahili la Kimataifa Zanzibar akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Dk. Mohammed Seif Khatib.[/caption] [caption id="attachment_25376" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa na viongozi wengine wa Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Kiswahili (CHAUKIA) Mahiri Mwita kutoka Marekani akitoa salamu za chama chao wakati wa ufunguzi huo wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_25377" align="aligncenter" width="750"] BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar wakifuatilia hotuba ya Ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.[/caption] [caption id="attachment_25378" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.[/caption] [caption id="attachment_25380" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Dk. Mohammed Seif Khatib akiangalia baadhi ya vitabu vya fasihi simulizi vilivyochapishwa na Mkuki na Nyota wakati wa Kongamano hilo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi