Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Safari Maalum
Jul 05, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44962" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, wakati wa kuondoka Nchini leo kuelekea Nchini Uingereza kwa Safari Maalum, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_44963" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka kuelekea Nchi Uingereza kwa Safari Maalum.[/caption] [caption id="attachment_44964" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akiondoka Zanzibar kuelekea Nchini Uingereza kwa safari Maalum, akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.(Picha na Ikulu)(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi