[caption id="attachment_50750" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na mgeni wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho de Oliveira, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-2-2020, alipofika kujitambulisha.[/caption]
[caption id="attachment_50751" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro Agostinho de Oliveira, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo , 6-2-2020.[/caption]
[caption id="attachment_50752" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho de Oliveira, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 6-2-2020.[/caption]