Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa wananchi wa Zanzibar na tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais Shein pia amewataka waumini wa dini ya Kiislamu na wananchi kuwa na ushirikiano na kumcha Mwenyezi Mungu. [Picha na Ikulu, Zanzibar.]).