Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Dec 02, 2025
Rais Samia Azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.
Na Ikulu

Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 02 Desemba, 2025.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi