Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azungumza na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman, Azungumza pia na Wakuu wa Taasisi Wanawake
Jun 14, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili yaliyofanyika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.
Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi