Rais Samia Awasili Zanzibar Mara Baada ya Kuhitimisha Ziara Yake ya Kikazi Nchini Oman na Saudi Arabia
Jun 16, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akitokea nchini Saudi Arabia tarehe 16 Juni, 2022 baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini Oman