Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Awajulia Hali Watoto Wanaoumwa Selimundu Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa
Feb 01, 2024
Rais Samia Awajulia Hali Watoto Wanaoumwa Selimundu Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Ester John ambaye alimchangia uloto mdogo wake Elisha John katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kareem Mjata ambaye amepandikizwa uloto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024. Kareem Mjata amechangiwa uloto na Ndugu yake Miriam Mjata

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Laurean Kanaganwa ambaye bado hajapandikizwa uloto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi