Rais Samia Asalimiana na Wafanyabiashara na Abiria Aliosafiri Nao Akielekea Uturuki
Apr 17, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria alioambatana nao safarini wakati akielekea Jijini Ankara kwa ajili ya kuanza ziara Rasmi nchini Uturuki tarehe 17 Aprili, 2024.
Na
Ikulu