Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Apokea Hundi ya Milioni 500 kutoka kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar kwa ajili ya Timu za Taifa za Tanzania
Apr 04, 2024
Rais Samia Apokea Hundi ya Milioni 500 kutoka kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar kwa ajili ya Timu za Taifa za Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi ya shilingi milioni 500 kwa ajili ya Mashindano yanayohusu Timu za Taifa za Tanzania kutoka kwa Mfanyabiashara Said Naseer Naseer kwa niaba ya Wafanyabiashara wenzake kutoka Zanzibar. Shughuli hii imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ndugu Wallace Karia mfano wa Hundi ya shilingi milioni 500 kwa ajili ya mashindano yanayohusu Timu za Taifa za Tanzania Ikulu jijini Dar es Salaam. Fedha hizo zimetolewa na wafanyabiashara wa Zanzibar katika kumuunga mkono Rais Samia kwenye michezo tarehe 04  Aprili, 2024. Kushoto ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi