Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uholanzi hapa nchini, Mhe. Wiebe Jokob De Boer, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Burkina Faso hapa nchini mwenye makazo yake Nchini Kenya, Mhe. Madina Diaby Kassamba Ganou, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Guinea hapa nchini mwenye makazi yake Nchini Addis Ababa, Ethiopia, Mhe. Gaussou Toure, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25, 2021.