Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Amjulia Hali Mama Mzazi wa Halima Mdee
Feb 01, 2024
Rais Samia Amjulia Hali Mama Mzazi wa Halima Mdee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee akielezea juu ya maendeleo ya afya na matibabu ya mama yake ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Theresia Mdee, mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi