Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Akutana na Ujumbe Kutoka Oman
Mar 08, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Sayyid Badr Hamad Hamood Al Busaidi Ujumbe huo ulipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Sayyid Badr Hamad Hamood Al Busaidi Ujumbe huo ulipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi