Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza
Sep 30, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Mhe. Tony Blair baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Septemba 29, 2021. PICHA NA IKULU.