Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
Aug 04, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa, Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.