Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Ahutubia kwenye Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi, Lumumba Zanzibar
Jan 10, 2024
Rais Samia Ahutubia kwenye Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi, Lumumba Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Mandhari ya ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.
Mandhari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.

 

Wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi