Rais Mhe. Samia Azungumza katika Mkutano wa Wafanyabiashara wa Marekani USAfBC-Washington Nchini Marekani
Apr 23, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara ya Marekani, Suzanne Clark mara baada ya mazungumzo yao katika Ofisi za Chemba hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Wafanyabiashara wa Marekani uliofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi za Chemba ya Biashara ya Marekani Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022