Rais Mhe. Samia Ashuhudia Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28
Jun 06, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Viongozi mbalimbali Wakandarasi walioshinda zabuni pamoja na Wabunge wanufaika wa miradi ya Maji wakiwa katika viwanja vya Ikulu Chamwino kushuhudia utiaji Saini wa Mikataba ya miradi hiyo tarehe 06 Juni, 2022.