Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Nchini Marekani
Apr 23, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center, Balozi Mark Green katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center, Balozi Mark Green katika Mdahalo uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mdahalo katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center, Balozi Mark Green katika Mkutano uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.