Rais Mhe. Samia Ahutubia Kwenye Kilele cha Sherehe ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) Jijini Dar es Salaam
Jun 27, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo tarehe 27 Juni, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kazi mbalimbali za kijasiriamali zinazofanywa na wanufaika wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika maadhimisho ya kilele cha Mfuko huo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo kwa Baadhi ya Wafadhili waliojitolea kuunga mkono Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika maadhimisho ya kilele cha Mfuko huo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022
Viongozi mbalimbali pamoja na Wanufaika wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa katika picha ya pamoja na Wake wa Viongozi mara baada ya maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Convention Center Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022.