Rais Mhe. Samia Ahutubia katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji, Azungumza na Watanzania Waishio UAE - Dubai
Feb 27, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiwa katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.
Sehemu ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.